Inaumiza sana mwenza anapokucheat wakati ww ukijiangalia hucheat hata aisee inauma iyo hapa ndo watu wanapo pelekea kiaribiana maisha sasa aisee kicheatiwa inauma sana nikishauri tuu.
Kwa kuwa amerudia makosa yale yale na ww bado unampenda chamsingi mlie buyu yani mkaushie mazima kuwa jeuri kuwa kiburi ulie pitiliza mfanyie na ww vituko vya kufa mtu usimfulie nguo usimpikie yani ww deal na watoto wako kama mnao mana huyo mume wako kashakuona ww mdhaifu.
Rudi nyumbani muda utakao ww yani onesha dharau izo mfanyie jeuri ya kufa mtu nakwambia baada ya muda utamuona akakaa sawa mwenyewe na hato cheat tena na akikaa sawa ndo rudisha sasa ule upendo wa zamani....muishi pamoja mulee watoto mfanye maisha uzuri wetu sisi wanaume tukicheat baada ya Muda tunarudi kwa wake zetu na kuwa watu wapya kabisa.....