Unafiki wa WanaCCM ndiyo huu sasa

Unafiki wa WanaCCM ndiyo huu sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni eneo lile lile na watu walewale, Ya Juu akiwa Mwenezi, Ya Chini akiwa RC mtoto mpendwa wa mama

Tafakari mwenyewe

Screenshot_2024-04-09-00-20-44-1.png
 
I used to think Magnus Makonda knows how to make an impression. Little did I know, Magnus Makonda, the Imperator of CCM, is himself a living impression.

What a good time to be alive.......!​
 
Kaa kwa kutulia wewe maana naona unaweweseka na kuwa kama mgonjwa tangia Mwamba atue katika ardhi ya Arusha. Huwezi ukashindana na Mwamba hata siku moja maana Mungu kampa kibali mkononi mwake. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu .Goliathi alishindana na Daudi lakini akaishia kufa kwa aibu.hata Sauli alipojaribu kutaka kumuua Daudi naye aliishia kufa vibaya sana tena kwa kujiua mwenyewe. Mtakufa na roho mbaya zenu.
 
We komaa na kusifia, ila sidhani kama unachokitaka utakupata.
 
Back
Top Bottom