Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Yani nashukur mzazi wangu kunipa elimu. Kinachomtesa Mondi ni lack of Education. That's why Alikiba knows that 'the best revenge is not to be like your enemy' sasa yy Dai anataka wafanane. Which is wrong, pia anapenda competition

Elimu elimu elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wenye phd kamwe hawawezi kufanya kama anavyofanya diamond?
 
Am very much proud to be educated. Isingekua elimu ningekua kama Mondi. Najivunia mara dufu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yet upo busy kwenye thread kumuongelea Mond ambaye hata hakujui, sasa hapo sijui nani zaidi.

Hint, dhaifu ndio uendeshwa na kuhangaika na na maisha ya mwenye nguvu, na aliye chini ndio uhangaika na maisha ya aliye juu na sio vinginevyo.
 
Yet upo busy kwenye thread kumuongelea Mond ambaye hata hakujui, sasa hapo sijui nani zaidi.

Hint, dhaifu ndio uhangaika na kwa maisha ya mwenye nguvu, na aliye chini ndio uhangaika na maisha ya aliye juu na sio vinginevyo.
Usinishobokee ulitaka nikuongelee wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom