Nahirat
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 595
- 985
Noway we have to call a spade a spade not a big spoonYeah...
n chill..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noway we have to call a spade a spade not a big spoonYeah...
n chill..!
Yeah...
And that's exactly I was saying Diamond would never be Alikiba and the reverse is true.Yeah...
N it's wise to let Diamond be Diamond and Ali Kiba be Ali Kiba..!
Yeah..!And that's exactly I was saying Diamond would never be Alikiba and the reverse is true.
Sent using Jamii Forums mobile app
Take a [emoji481] beer. I knew you were thirsty. A hungry man is an angry manYeah..!
Subiri siku 3 zipite utakuwa na jibu. Diamond tutasubiri sana kupotea kwake. Angalieni tour zake ndo zitakupa jibu kamili. Kajibrand vya kutosha
Support muhimuEndeleeni kuwaingizia pesa wanaume wenzenu kwa kuchochea ushindani wao na kujiuliza maswali wanayopaswa kujiuliza wao wenyewe na familia zao. [emoji3]
Ahahaaaah...Take a [emoji481] beer. I knew you were thirsty. A hungry man is an angry man
Sent using Jamii Forums mobile app
Not antagonismAhahaaaah...
That's savage maam..!
[HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] is enough to quench my thirst,though..!
Ahahaaa karanga zenyewe naskia sio zake anauzia jina tuHawez kunusa maana ata hela ya kununua tuzo hizo atakua hana... sana sana atageukia karanga ambazo watu wakshajua kwenye kile kipakti kuna karanga tisa (9) hawatanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wenye phd kamwe hawawezi kufanya kama anavyofanya diamond?Yani nashukur mzazi wangu kunipa elimu. Kinachomtesa Mondi ni lack of Education. That's why Alikiba knows that 'the best revenge is not to be like your enemy' sasa yy Dai anataka wafanane. Which is wrong, pia anapenda competition
Elimu elimu elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ashanunua kwa Mara ya kwanza na akajua kwahyo hayoweza endelea kununua tena
You got it. Si unaona wakina professor wanaenda kwa hoja. Sio uswahili. Ata kama anauswahili ndani yake anauweka unakua wa kisomiKwahiyo wenye phd kamwe hawawezi kufanya kama anavyofanya diamond?
Yet upo busy kwenye thread kumuongelea Mond ambaye hata hakujui, sasa hapo sijui nani zaidi.Am very much proud to be educated. Isingekua elimu ningekua kama Mondi. Najivunia mara dufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinishobokee ulitaka nikuongelee wewe.Yet upo busy kwenye thread kumuongelea Mond ambaye hata hakujui, sasa hapo sijui nani zaidi.
Hint, dhaifu ndio uhangaika na kwa maisha ya mwenye nguvu, na aliye chini ndio uhangaika na maisha ya aliye juu na sio vinginevyo.
Maprofesa kama lipumba si ndioYou got it. Si unaona wakina professor wanaenda kwa hoja. Sio uswahili. Ata kama anauswahili ndani yake anauweka unakua wa kisomi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umenielewa. Wanaenda kwa hoja.Maprofesa kama lipumba si ndio