Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.
Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.
Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.
Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.
Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza
Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.
Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?
Mjadala mezani