mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,650
- 3,655
Nasoma hii post nikiwa hapa manka pub kahama niiwa nasubiri mchemsho wa kichwa cha ngombe nishushie na hii catsle milk labda niseme hiivi mkuu "Kigezo cha kwanza cha kuwa mwanaCCM lazima uwe muongo. Ccm wanadanganya na wanajua kuwa tunajua wanadanganya, na wanaendelea kutudanganya. Mkuu unajua hakuna kitu kigumu kama kudanganya alafu uwe siriazi .
Mfano licha ya zile kashikashi za october 29 bado tume huru ya uchaguzi iliweza mtangaza mgombea wa CCM kama mshindi kwa 98%. ogopa sana huo ujasiri bro. 😂. Hii scenario ilinichekesha sana huu ulikuwa ni zaidi ya ujasiri. Na pia ilinifanya nijiulize sana kuhusu ccm maybe ni ocult society siyo chama cha siasa.
Hiki chama kina vituko ukiwa unajaribu kuwaza kimewezejae kuongoza watu million 60 unashangaa mfano ni Katibu uenezi mstaafu wa chama Polepole anatekwa na kitokomea kabisa hata kaburi lake hatujui liko wapi? 2019 uchaguzi serikali za mitaa wapinzani wote walitolewa.
Hiki chama kin ushawishi MAHAKAMANI, NA KWENYE VITENGO VYA USALAMA. sina uhakika ila nnahisi uwezi pata nafasi za juu za vitengo nyeti vya usalama kama wewe sio zao la chipukizi, uvccm then ccm hiki chama hakikosi kadi maalum kwa wanachama wao 😊. Simini kuwa unaweza kuwa jaji wa hili taifa ikiwa hauna damu ya kijani siamini.
Hebu waza tume inabadilishwa jina kuwa tume huru ya uchaguzi alafu uchaguzi wa kwanza kusimamiwa na tume huru ndo huohuo linapigwa tukio la kihistoria 😂😂😂😂😂😂😂. Dj tugongee ngoma yoyote ya john komba "mbelembele".