Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

Hata kama CCM inakupa maslahi, ikiwa una akili timamu una reason vizuri huwezi kuipenda.

Binafsi huwa na-doubt kama akina Rizi, kina abduli, na big fish wote zaidi ya majukwaani sidhani kama wanaweza kuitetea CCM kama wafanyavyo vidampa mapolisi, akina Tlala, Mwashamba, Narogo, OCD, na wengine humu.
 
Nasoma hii post nikiwa hapa manka pub kahama niiwa nasubiri mchemsho wa kichwa cha ngombe nishushie na hii catsle milk labda niseme hiivi mkuu "Kigezo cha kwanza cha kuwa mwanaCCM lazima uwe muongo. Ccm wanadanganya na wanajua kuwa tunajua wanadanganya, na wanaendelea kutudanganya. Mkuu unajua hakuna kitu kigumu kama kudanganya alafu uwe siriazi .

Mfano licha ya zile kashikashi za october 29 bado tume huru ya uchaguzi iliweza mtangaza mgombea wa CCM kama mshindi kwa 98%. ogopa sana huo ujasiri bro. 😂. Hii scenario ilinichekesha sana huu ulikuwa ni zaidi ya ujasiri. Na pia ilinifanya nijiulize sana kuhusu ccm maybe ni ocult society siyo chama cha siasa.

Hiki chama kina vituko ukiwa unajaribu kuwaza kimewezejae kuongoza watu million 60 unashangaa mfano ni Katibu uenezi mstaafu wa chama Polepole anatekwa na kitokomea kabisa hata kaburi lake hatujui liko wapi? 2019 uchaguzi serikali za mitaa wapinzani wote walitolewa.

Hiki chama kin ushawishi MAHAKAMANI, NA KWENYE VITENGO VYA USALAMA. sina uhakika ila nnahisi uwezi pata nafasi za juu za vitengo nyeti vya usalama kama wewe sio zao la chipukizi, uvccm then ccm hiki chama hakikosi kadi maalum kwa wanachama wao 😊. Simini kuwa unaweza kuwa jaji wa hili taifa ikiwa hauna damu ya kijani siamini.

Hebu waza tume inabadilishwa jina kuwa tume huru ya uchaguzi alafu uchaguzi wa kwanza kusimamiwa na tume huru ndo huohuo linapigwa tukio la kihistoria 😂😂😂😂😂😂😂. Dj tugongee ngoma yoyote ya john komba "mbelembele".
You are so funny 😂 😂

Nimecheka sana aiseee!
 
Hamjambo!

Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.

Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.

Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.

Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.

Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza

Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.

Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?

Mjadala mezani
Hiki unachokiona humu ndiyo reflection ya uhalisia.
Free, fair and transparent election ikifanyika basi ujue ya kwamba matokeo yake hayawezi kuwa kutofautiana sana na unayoyaona humu JF.
 
Kwa nini uandikie mate Wino upo.
Wela polls hapo.
Andika CHADEMA kisha CCM
Kisha utapata majibu.

Kuhusu multiple Id's kwani wanaccm hawana hizo multiple Id's humu?
Polls zinashindwa timiza akidi hivyo kadri utakavyoziweka zitalenga kuiangusha CCm pia tambua wengi wa chama tawala ni wapenzi watazamaji humu haswa kwa mada zenye mlengo wa kukitweza nguvu chama Chao.

Hahaha, humu multiple Id's nyingi za non-CCM bila shaka kwani ndipo mahali wanapo kuwa huru kujiachia dhidi ya CCM.

CCM bado iko na mvuto kwa wengi JF
 
Uchambuzi: Kwa Nini CCM Haina Ushawishi Mkubwa Miongoni mwa Wana-JF?
1. Demografia ya Watumiaji wa JF na Kiwango cha Elimu
JamiiForums inajumuisha asilimia kubwa ya vijana, wasomi, na watu wa tabaka la kati (middle class). Kundi hili lina uwezo mkubwa wa kuhoji, kufuatilia mtandao, na kuchambua mambo kwa kutumia takwimu badala ya ushabiki. Tofauti nchini kote, hasa maeneo ya vijijini ambako chama tawala hupata kura nyingi kwa kutumia mbinu za kiasili, wana-JF wengi wanatafuta hoja mbadala na suluhisho la matatizo ya kiuchumi yanayowakabili vijana wasio na ajira.
2. Uhuru wa Maoni na Utambulisho wa Siri (Anonymity)
Asili ya JF inaruhusu watu kutumia majina ya bandia (pseudonyms). Uhuru huu unawapa wanachama fursa ya kueleza hasira, kero, na mitazamo yao halisi dhidi ya serikali bila hofu ya kufuatiliwa au kushughulikiwa kiusalama. Katika mazingira ya kawaida, watu wengi huogopa kukosoa utawala hadharani, lakini JF inavunja ukuta huo na kuacha uhalisia wa kile watu wanachofikiri ujitokeze waziwazi.
3. Kushindwa kwa Wanapropaganda wa Chama Kudhibiti Hoja za Kidijitali
Wanapropaganda
au watetezi wa CCM mtandaoni mara nyingi hutumia mbinu za kiasili za kusifu na kuabudu viongozi, au kutoa majibu mepesi kwenye masuala mazito ya kitaifa. Kwenye jukwaa lenye "IQ" kubwa kama JF, mbinu hizo hukataliwa haraka na kupingwa kwa ukweli na data. Matokeo yake, watetezi wa chama tawala huonekana kuzidiwa nguvu ya hoja, jambo linalofanya jukwaa zima lionekane kama ngome ya upinzani.
4. Mtazamo wa JF Kama Jukwaa la "Mabadiliko" (Anti-Establishment)
Kihistoria, majukwaa yote makubwa ya mijadala ya kijamii duniani (kama Reddit au Twitter/X) huwaya mwelekeo wa kuhoji mamlaka yaliyopo (anti-establishment). Wanachama wa JF wanaona jukumu lao kuu ni kuwa "bunge la wananchi" linalohoji mikataba mbalimbali, matumizi ya kodi, na hali ya demokrasia nchini. Kwa mantiki hiyo, mtumiaji wa JF ana uwezekano mkubwa wa kuunga mkono hoja za upinzani kama njia ya kushinikiza uwajibikaji.
5. Hali ya Sasa ya Kisiasa na Kiuchumi Tanzania
Hali ya sasa ya kisiasa nchini, ikiwemo mijadala ya hivi karibuni ya mikataba ya kimkakati, changamoto za mifumo ya uchaguzi, na kupanda kwa gharama za maisha, inachochea hasira miongoni mwa wananchi wanaotumia mitandao. Chadema na vyama vingine vya upinzani vimefanikiwa kutumia fursa hizi kujenga hoja zinazoshawishi akili za watu wanaotafuta mabadiliko ya kimfumo, jambo linaloonekana wazi kwenye kura za maoni (polls) za jukwaani.

Hitimisho:
Kwa kifupi, kushindwa kwa CCM ndani ya JamiiForums si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya jukwaa hili kukusanya watu wanaotumia akili, data, na uchambuzi huru badala ya ushabiki wa vyama. Mpaka pale chama tawala kitakapobadilisha mbinu zake kutoka kwenye propaganda nyepesi na kuanza kujibu hoja kwa kutumia takwimu na ukweli, JamiiForums itaendelea kubaki kuwa "Bunge la Wananchi" linaloongozwa na fikra za mabadiliko.
 
Ukiwa mnafiki, jizi, fisadi, muongo, mzabizabina ndio unaangukia katika genge linaloitwa CCM zaidi ya hapo ni wale wanaojitoa ufahamu kujipatia handouts za buku 7 kusogeza maisha.

Hivi unawezaje kuwa timamu katibu mwenezi, balozi, mjumbe wa kamati na mkutano mkuu anatekwa na kuuwawa halafu hakuna hata mtu mmoja anasimama kukemea kutoka chamani humo?

Unawezaje kuwa timamu akilini hata chaguzi za chama kimoja enzi za Nyerere hakuwahi kujipa 98% leo wewe uchaguzi wenye fujo, risasi, mabomu na vifo unasema umeshinda 98%?

Unawezaje kuwa timamu na kuungana na genge hili pale watu wameuwawa hakuna uwajibikaji mtu anaunda tume anaiita ya uchunguzi na anawaelekeza cha kuchunguza halafu majibu anayaficha kwa kusema ni ya kwake tu ?

Unawezaje kuwa timamu kuungana na genge hili ambalo mtu anaitwa Mdude Nyagali anavamiwa na kupigwa na nyundo kichwani tunaona damu zimetapakaa sakafuni halafu wao wanasema "alijiteka"..?

Unawezaje kuwa timamu kuungana na genge hili ambalo watu 700 walikua hai na wamepotea October 29 wao wanasema walipotea sababu ya ushirikina, wivu wa mapenzi, kukwepa madeni na kujiteka ili kujipatia fedha?

Unawezaje kuungana na genge hili ambalo watu wamepigwa risasi vichwani hadi vichwa kusambaratika maiti zimetupwa barabarani na mortuary zimefurika miili na wao wanasema kwa ujasiri ni picha za akili mnemba [AI]?
 
Hakuna mwenye akili timamu na moyo wa upendo na uzalendo wa kweli kwa Taifa, anayeweza kuiunga mkono CCM. Chama chenye Serikali inayoua, inayoteka, inayoharibu mifumo ya demokrasia, mifumo ya haki na uhuru, unatarajia mwenye akili timamu akiunge mkono chama cha namna hiyo? Hicho chama kwa sasa ndiye adui namba moja wa watanzania.
 
Sio humu tuuh
Kila sehemu hata hapa bombambili Hawa itaki
Rejea #30 ya bongofleva#WACHONGA
Nduki🏃
Hamjambo!

Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.

Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.

Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.

Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.

Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza

Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.

Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?

Mjadala mezani
 
Hamjambo!

Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.

Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.

Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.

Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.

Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza

Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.

Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?

Mjadala mezani
Chama cha Mataahira
 
MTAJI MKUBWA WA CCM NI.

1. WAJINGA.
2. WAPUMBAVU.
3. WEHU.
4. MALOFA.
5. MAKAPUKU NA MASIKINI HOE HAE.
 
Hamjambo!

Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.

Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.

Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.

Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.

Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza

Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.

Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?

Mjadala mezani
CCM hawana utu, hebu peruz threads zote za mauaji na utekaji ya "kisiasa" utabaini kuwa pro CCM wanaofurahia matukio hayo.
 
Hamjambo!

Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.

Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.

Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.

Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.

Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza

Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.

Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?

Mjadala mezani
Sio kweli, humu tunasukuma kete kuweka uhalali wa kisiasa.
 
Asilimia 90 ya memba humu wana uelewa wakati inajulikana thahiri ili uwe mfuasi wa mbogamboga lazima dishi kdogo liyumbe so nathan utajua nikwanini hayo unaayosema yanatokea
 
Tuanzie na vijana wanaotetea CCM humu Je wana uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu waipende CCM? Sijui nani aliwambia vijana kwamba ukiwa mwana CCM basi huwezi kusimama na Taifa lako kusiamamia HAKI dhidi ya mtanzania mwenzio anapokua anaonewa bila kujali ni mwanachama wa chama gani? Sijui nani alisema ukiwa mwana CCM basi utajikita kwenye propaganda za miaka hiyo dhidi ya ukweli do maana inakosa ushawishi humu vijana wanaojifanya wana ccm hawajui hata misingi ya kuanzishwa CCM kutoka TANU kauli mbiu ya TANU nakuja CCM ni kusema ukweli daima hata hawajui hii kitu
 
Back
Top Bottom