Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Humu tuna AKILIHamjambo!
Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.
Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.
Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.
Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM
Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.
Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza
Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.
Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?
Mjadala mezani
Humu tuna AKILI
CCM ina ushwawishi wapi?
Genge la wahuni haliwezi kupata uungwaji mkono na wanaojitambua!!
Unaweza kwenda ward ya wazazi hospital ukauliza kwanini humu ndani wanawake wote waliolazwa siyo bikra?
Chechemee ndio niniHamjambo!
Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.
Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.
Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.
Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM
Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.
Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza
Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.
Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?
Mjadala mezani
Siwezi
Humu kuna watu wenye vichwa Safi (clean heads) isipokuwa wachache sana.CCM ya sasa inapendwa na wahuni na watu wenye matatizo kichwani.
Wanamezwa na group kubwa la wasiowakubali...Lakini humu wapo ccm na machawa lakini ukiitisha polls ni kama hawapo
Humu kuna watu wenye vichwa Safi (clean heads) isipokuwa wachache sana.
Instagram, Facebook na TikTok sasa hivi habari kubwa ni Zuchu, Diamond na mtoto wao pamoja na kina Dotto, Mwijaku na watu wa aina hiyo wakati hapa JF hayo mambo sio story kabisa. Hii ilitosha kukuonyesha utofauti wa aina ya watu na vipaumbele vyao katika hii mitandao.Baadhi ya mitandao huko ushawishi wake una fluctuate kulingana na matukio.
Lakini humu tangu niujue huu mtandao. Zaidi ya miaka 15. Humu ndani sijawahi kuona ccm ikiwa na ushawishi unaozidi asilimia 20
Wanamezwa na group kubwa la wasiowakubali...
Ni kama nakuelewaInstagram, Facebook na TikTok sasa hivi habari kubwa ni Zuchu, Diamond na mtoto wao pamoja na kina Dotto, Mwijaku na watu wa aina hiyo wakati hapa JF hayo mambo sio story kabisa. Hii ilitosha kukuonyesha utofauti wa aina ya watu na vipaumbele vyao katika hii mitandao.
Lingine ni kwamba hapa wata wanaweza kujiachia kwa uhuru bila kuogopa kesi za ugaidi za CCM.
Instagram, Facebook na TikTok sasa hivi habari kubwa ni Zuchu, Diamond na mtoto wao pamoja na kina Dotto, Mwijaku na watu wa aina hiyo wakati hapa JF hayo mambo sio story kabisa. Hii ilitosha kukuonyesha utofauti wa aina ya watu na vipaumbele vyao katika hii mitandao.
Lingine ni kwamba hapa wata wanaweza kujiachia kwa uhuru bila kuogopa kesi za ugaidi za CCM.