Kigezo cha kwanza cha kuwa mwanaCCM lazima uwe muongo. Ccm wanadanganya na wanajua kuwa tunajua wanadanganya, na wanaendelea kutudanganya. Mfano licha ya zile kashikashi za october 29 bado tume huru ya uchaguzi iliweza mtangaza mgombea wa CCM kama mshindi kwa 98%. ogopa sana huo ujasiri bro. 😂. Hii scenario ilinichekesha sana huu ulikuwa ni zaidi ya ujasiri. Na pia ilinifanya nijiulize sana kuhusu ccm maybe ni ocult society siyo chama cha siasa.
Hata mimi nafuatilia na ninachokisema nakielewa.Mimi nafuatilia pages za siasa na harakati. Ninachokisema nakielewa.
Kizazi cha waliosoma angalau kidato cha 4 wengi sana humu.Hii consistency yao ndio inanipa maswali
Lazima uwe fisadi, mwizi wa mali ya umma, mpigaji, muuaji chawa + ,punga ili uwe ccm
Kizazi cha waliosoma angalau kidato cha 4 wengi sana humu.
Nahisi wastani mkubwa wamepita kidato cha 6 au cheti na stashahada.
Hata mimi nafuatilia na ninachokisema nakielewa.
After all their stupidity since independence, bado unauliza kwanini hawaungwi mkono na jamii inayojitambua?
Not at all Mtibeli, Sina hasira na ww hata kidogo, but i hate that thing called ccm.Bikra unayo, usiniulize kwa hasira
Kwa sababu hapa watu wengi wana uhuru wa kusema mawazo yao bila hofu yoyote na kwa sababu shida ya CCM sio tukio moja zuri na lingine baya, shida ya CCM ni mfumo ulioshindwa kuleta maendeleo sahihi kulingana na rasilimali za nchi kwa miaka 60 na kuendelea kung'ang'ania madarakani kwa njia za wizi, udanganyifu, hofu na vitisho kwa raia. Matukio mawili matatu mazuri hayawezi kubadilisha hiyo taswira mbovu iliyo pana.Kwa nini humu hata litokee tukio gani bado ccm haiwezi kukubalika?
Tokalini 👉💩💩💩💩🚯 yakawa na ushawishiHamjambo!
Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.
Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.
Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.
Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.
Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza
Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.
Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?
Mjadala mezani
Sio huku jf tu, hata huko mtaani. Yale mauaji ni uhalisia kwa kiwango gani watu hawaitaki ccm. Uliona kwenye vituo vya kura ni kwa jinsi gani watu hawakujitokeza? Ule ndio uhalisia wenyewe.Hamjambo!
Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.
Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.
Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu 2030, kwamba ni kiongozi gani wa ndani ya CCM anaweza kuwakilisha CCM kwenye tiketi ya urais.
Niliweka baadhi ya viongozi wa CCM Kisha nikaweka na sehemu ya, wote hawafai, nataka upinzani.
Zaidi ya asilimia 54% walikuwa upinzani. Jambo ambalo lilinishangaza
Lakini nilipoweka upande wa Upinzani kwa kutumia chadema.
Lisu pekeake alipata zaidi ya asilimia 74%.
Huku wasiotaka upinzani wakiwa asilimia 1% tuu.
Swali linakuja, kwa nini CCM haina ushawishi ndani ya members wa JF?
Mjadala mezani
Check maoni ya Facebook na Instagram then utajua ni mitandao yote,wenyewe wanakuwaga na kauli ya kujipa moyo eti ni kelele tu za mitandaoni huko mtaani CCM inapendwa sana,hawajui watu waliopo mtaani ndio haohao wapo mtandaoniBaadhi ya mitandao huko ushawishi wake una fluctuate kulingana na matukio.
Lakini humu tangu niujue huu mtandao. Zaidi ya miaka 15. Humu ndani sijawahi kuona ccm ikiwa na ushawishi unaozidi asilimia 20
CCM iko na ushawishi mkubwa tu humu JF Acha kuzua taharuki.Hamjambo!