Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

S
Si tu ndani ya JF hata katiks jamii imepoteza mvuto wakisiasa kwa rika zote hasa vijana wanaotaka mabadiliko yakimaendeleo.
 

Kwa nini uandikie mate Wino upo.
Wela polls hapo.
Andika CHADEMA kisha CCM
Kisha utapata majibu.

Kuhusu multiple Id's kwani wanaccm hawana hizo multiple Id's humu?
 
Humu kuna people with smart 🧠 brain, great thinkers,
Labda uwe chawa au uwe unanufaika moja kwa moja na ccm au serikali ndio utashabikia kwa ccm lakini kwa unafiki
 
Humu kuna people with smart 🧠 brain, great thinkers,
Labda uwe chawa au uwe unanufaika moja kwa moja na ccm au serikali ndio utashabikia kwa ccm lakini kwa unafiki

Unazungumziaje mtu hanufaiki chochote lakini anamapenzi tuu
 
Hivi kweli Kuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwa anashabikia CCM? Wewe jaribu kufatilia hiyo asilimia 1% ya mashabiki wa mbogamboga wakianza kuongea utaona Kuna namna ubongo Kuna mahali nati zimefyatuka
😀😀😀😀😀 nmecheka sana
 
Kundi haramu lisilo na chembe ya maadili mema, uzalendo wala UTU haliwezi kuwa upande wa binadamu ila ni kwa shetani tu.
 
Hivi kweli Kuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwa anashabikia CCM? Wewe jaribu kufatilia hiyo asilimia 1% ya mashabiki wa mbogamboga wakianza kuongea utaona Kuna namna ubongo Kuna mahali nati zimefyatuka
Sahihi kabisa, au wengine unaona wanajikomba tu kulinda mali zao na vyeo vyao.
 
Baadhi ya mitandao huko ushawishi wake una fluctuate kulingana na matukio.
Lakini humu tangu niujue huu mtandao. Zaidi ya miaka 15. Humu ndani sijawahi kuona ccm ikiwa na ushawishi unaozidi asilimia 20

..Ni kwasababu Ccm haina udhibiti wa mfumo wa kuhesabu kura hapa JF.

..Ccm haiwezi kushinda ktk hoja yoyote ile ikiwa haidhibiti mfumo wa kuhesabu kura, na kutangaza matokeo.
 
Nipo zangu barararani muda huu lakini kuna mtu amepita anaendesha baiskeli imeandikwa samia suluhu hassan na rangi ya ccm, nawaulizeni nyie wakuu nimfanyeje mtu huyu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…