Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

Humu ni Idealism na CCM inaamini katika Realism.
 
 
badala ya kuitetea wao wana iabisha kwa kukosa uwezo wa kujenga hoja.

mwingine ANABUBIJIKWA MACHOZI TU mwaka mzima..
 
CCM ni Ajuza. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
CCM wamewaua wapiga kura wao MO29
 
GT waunge mkono Wahuni?
 
Siyo kwenye mtandao wa JF hata huku kijijini( mtaani) huku tuliko ccm haipendwi.
Ulishawahi jiuliza ni kwanini hawataki tume huru, kama wanapendwa wanakataaje tume iliyohuru
 
Mkuu wasimamizi na waendeshaji JF sio kama wale wasimamizi wa tume ya uchaguzi/wakurugenzi wa halmashauri na waalimu ambao ndio wapiga kura(wanaotiki) wa mbogamboga, mbogamboga tayari ishakufa bila washika magobole tungeshawasahau.
 
Walishatoka kua chama cha siasa nakujiattach na Dola sasa yeyote mwenye akili timamu hawezi kujinasibisha na watu ambao hawatumii tena hoja au mijadala bali unatumia vitisho intimidation sodomization kunyamazisha wenye mawazo tofauti na yao ndio mana wanasema wamepata 98% kati around 32million voters nusu ya watanzania lakini mtaa unakataa hiyo takwimu wanavyokataliwa kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…