Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Roho Mbaya na Ubinafsi miongoni mwa watu/wanafamilia waliotuzunguka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze na wewe kwanza tueleze ama unataka uuuze kozi how to be richInawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k.
Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta.
Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako.
Na wengine wanasema sio kufanya kazi kwa bidii; bali kufanya kazi kwa maarifa ndio itakusababishia kutimiza ndoto zako.
Lakini vijana kwa wazee wanajituma, lakini malengo hayatimii; zaidi ya kuishia kupata kipato cha kawaida cha kuendesha familia; na sio kufanya uwekezaji mkubwa n.k
Kwa mazingira hayo; Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?
Kama huna maarifa lazima yafate mkondoMaji hufuata mkondo
Yes, ni rahisi kuendeleza kitu, kuliko kuanzisha kitu. Hili liko wazi.Spot on mate. Kama familia yenyewe tayari imejichokea unadhani utatoboa bwana wewe? Tuache porojo za oh jf ur born poor thats not ur fault but if u die poor thats hr fault. Hayo maneno ya watu waliofanikiwa ili kuonyesha kuwa wao they smarter than most of us.
Ukitaka kujua kuwa familia ndio kila kitu. Nenda kasome back ground ya matajiri wote wakubwa wa dunia. Utaelewa mchango wa familia
Binafsi ukoo wangu umeathiriwa sana na mizimu, yaani ... Haya madude hupenda sana kuabudiwa. Waafrika tulikuwa gizani sana hadi kuanza kuabudu mashetani, cheki sasa tunavyorithishana umasikini.Mizimu, uchawi na uganga ambao iliabudiwa na mababu na sasa wameiacha hewani...
Inahitaji kuabudiwa kwa sadaka, damu sasa ikiona unataka kutoboa kimaisha inakurudisha nyuma...
Bwana YESU atukuzwe
Inaumiza sana mkuu, maana unaweza kuacha kuabudu hiyo mizimu, uganga, na uchawi.Binafsi ukoo wangu umeathiriwa sana na mizimu, yaani ... Haya madude hupenda sana kuabudiwa. Waafrika tulikuwa gizani sana hadi kuanza kuabudu mashetani, cheki sasa tunavyorithishana umasikini.
ila YESU NI MWOKOZI
Nini kifanyke ila niwe chanzo cha mkondo? Kama wengne walishndwa coz mkondo pia unachanzoMaji hufuata mkondo
Mpe Bwana Yesu maisha yako, nawe utakuwa chanzo cha baraka katika familia yako.Nini kifanyke ila niwe chanzo cha mkondo? Kama wengne walishndwa coz mkondo pia unachanzo