Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?

There is a science of getting rich"..kuna mambo ukiyafanya kwa kujua au kutojua utatajirika tu, upende usipende, uzaliwe familia tajiri au masikini...there is a point to touch.

Hata tunaodai family background tujiulize kuhusu pioneers wa hizo familia walianzaje?....unaweza kukuta walikuwa watu wa kawaida kabisa ila kuna mambo walifanya yakajenga msingi.
...................................................................
Kuna mambo tunapaswa kuyafanya tofauti na tunavyoyafanya, na jambo la kwanza ni kubadili namna tunavyofikiri..
Mwisho wa kujinukuu.
 
Ulishawahi kuwaza jamaa anapambana anakuza mtaji wa biashara au maisha fulani then out of blue unakuja ugonjwa majanga either ukumalize au ukombe ulichowekeza na kukurudisha 0! Hapo shida
 
Tuanze na wewe kwanza tueleze ama unataka uuuze kozi how to be rich
 
Mizimu, uchawi na uganga ambao iliabudiwa na mababu na sasa wameiacha hewani...

Inahitaji kuabudiwa kwa sadaka, damu sasa ikiona unataka kutoboa kimaisha inakurudisha nyuma...


Bwana YESU KRISTO atukuzwe
 
Mfumo wa kiutawala ndy chanzo cha umasikini
 
Yes, ni rahisi kuendeleza kitu, kuliko kuanzisha kitu. Hili liko wazi.



JESUS IS LORD
 
Mizimu, uchawi na uganga ambao iliabudiwa na mababu na sasa wameiacha hewani...

Inahitaji kuabudiwa kwa sadaka, damu sasa ikiona unataka kutoboa kimaisha inakurudisha nyuma...


Bwana YESU atukuzwe
Binafsi ukoo wangu umeathiriwa sana na mizimu, yaani ... Haya madude hupenda sana kuabudiwa. Waafrika tulikuwa gizani sana hadi kuanza kuabudu mashetani, cheki sasa tunavyorithishana umasikini.


ila YESU NI MWOKOZI
 
Binafsi ukoo wangu umeathiriwa sana na mizimu, yaani ... Haya madude hupenda sana kuabudiwa. Waafrika tulikuwa gizani sana hadi kuanza kuabudu mashetani, cheki sasa tunavyorithishana umasikini.


ila YESU NI MWOKOZI
Inaumiza sana mkuu, maana unaweza kuacha kuabudu hiyo mizimu, uganga, na uchawi.

Lakini kuna ndugu ambao bado wanakukwamisha wanatoa sadaka wanataja majina, huku wanamwaga damu, ndo maana watu wanarudi nyuma kimaendeleo.

Hapa inabidi kutoa ZAKA yani fungu la kumi kwa kila kipato chako...

Hii ndo njia pekee ya kuyakimbia..


Bwana YESU KRISTO atukuzwe
 
Sisi WA familia za ovyo kutoboa ni kama ngamia kupita katika tundu la sindano asikudanganye mtu ,ndio Maana hata huko dunia ya Kwanza kuna kitu wanaita income inequality "The rich are getting richer while the middle class and the poor are increasingly getting even poorer "
 
Mwendelee kutema madini jaman,plzz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…