Sambazah World
Member
- Jul 8, 2018
- 12
- 5
Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kuwa na e-commerce kama Jumia, Amazon au Alibaba itaweza kusaidia?Changamoto:
1. Uaminifu kutoka kwa Watoa huduma
Watoa huduma wengi mitandaoni wamekua sio waaminifu, unaweza ukaagiza bidhaa lakini muuzaji akaingia mitini na pesa yako, na bidhaa yako usiipate.
2. Wauzaji hawaweki wazi bei za bidhaa zao
Hii utaikuta sana Instagram, yaan unakuta mtu anauza bidhaa fulani, ukimuuliza "Shngapi??" Anakwambia "Njoo Inbox" sasa unabaki unajiuliza, hii biashara ni ya magendo au vp?
Je unashauri njia ipi bora kuweza kukabili swala hili la uuzaji na ununuaji wa bidhaa mtandaoniKama tu kulipia huduma au bidhaa mtandaoni, watu wamegeuza kama ndo huduma ya kutolea fedha.
Bado kuna safari ndefu sana.
😂😂pole rafiki..... embu pitiaChangamoto:
1. Uaminifu kutoka kwa Watoa huduma
Watoa huduma wengi mitandaoni wamekua sio waaminifu, unaweza ukaagiza bidhaa lakini muuzaji akaingia mitini na pesa yako, na bidhaa yako usiipate.
2. Wauzaji hawaweki wazi bei za bidhaa zao
Hii utaikuta sana Instagram, yaan unakuta mtu anauza bidhaa fulani, ukimuuliza "Shngapi??" Anakwambia "Njoo Inbox" sasa unabaki unajiuliza, hii biashara ni ya magendo au vp?
Account yenu ipo safii... Mpo straight, Inapendeza😂😂pole rafiki..... embu pitia
INSTAGRAM@dollrubii_decors
Hatuna longolongo
SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARINUNI SANA. FREE DELIVERY DAR
Kwa wakati huu wateja ndio wasumbufuWatanzania wengi sio waaminifu wateja kwa wauzaji
Asanteee Karibu sana.Account yenu ipo safii... Mpo straight, Inapendeza
Hiyo namba 2 inanikera sana! Nikikuta hivyo hua napita mbali maana huko inbox ndio kwenda kupigana ngeuChangamoto:
1. Uaminifu kutoka kwa Watoa huduma
Watoa huduma wengi mitandaoni wamekua sio waaminifu, unaweza ukaagiza bidhaa lakini muuzaji akaingia mitini na pesa yako, na bidhaa yako usiipate.
2. Wauzaji hawaweki wazi bei za bidhaa zao
Hii utaikuta sana Instagram, yaan unakuta mtu anauza bidhaa fulani, ukimuuliza "Shngapi??" Anakwambia "Njoo Inbox" sasa unabaki unajiuliza, hii biashara ni ya magendo au vp?
Mbona zipo nyingi tu, ila zimeshindwa kuwa functional sababu ya kukosa mazingira rafiki ya kuoparate maana CCM kila jambo la maendeleo wao wanaliweka katika sura ya Siasa.Je kuwa na e-commerce kama Jumia, Amazon au Alibaba itaweza kusaidia?
Safi sana sana😂😂pole rafiki..... embu pitia
INSTAGRAM@dollrubii_decors
Hatuna longolongo
SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARINUNI SANA. FREE DELIVERY DAR
Je wateja wanakosaje uaminifuWatanzania wengi sio waaminifu wateja kwa wauzaji
Je unafikiri mazingira yapi rafiki yawekwe ili e-commerce ikuwe Tanzania?Mbona zipo nyingi tu, ila zimeshindwa kuwa functional sababu ya kukosa mazingira rafiki ya kuoparate maana CCM kila jambo la maendeleo wao wanaliweka katika sura ya Siasa.
Je wateja wanakosaje uaminifu
Je unafikiri hili swal litatuliwajeKwa wakati huu wateja ndio wasumbufu
Anaagiza kitu boda akifika atasubirishwa saa nzima
Kuna wale mzigo umefika anakwambia nilikosea kuforward picha nataka ile sio hii
Hapo boda anaondoka hatoi hata mia ya usafiri