The Bliss
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 213
- 436
Changamoto ni kama ifuatavyo;Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
1. Wafanyabiashara mitandaoni 90% sio waaminifu.
2. Kutokuweka bei za bidhaa na kuishia kumwambia mteja aje DM au inbox.
3. Picha na bidhaa halisi kukosa uhalisia.
4. Kama bidhaa ikakufikia na ikawa haifanyi kazi vizuri huwa ni kazi kubadilishiwa.
5. Kuna bidhaa bei ya usafiri ni kubwa kuliko bei ya bidhaa!!