The Bliss JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 213 Reaction score 436 Apr 26, 2023 #21 Sambazah World said: Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania? Click to expand... Changamoto ni kama ifuatavyo; 1. Wafanyabiashara mitandaoni 90% sio waaminifu. 2. Kutokuweka bei za bidhaa na kuishia kumwambia mteja aje DM au inbox. 3. Picha na bidhaa halisi kukosa uhalisia. 4. Kama bidhaa ikakufikia na ikawa haifanyi kazi vizuri huwa ni kazi kubadilishiwa. 5. Kuna bidhaa bei ya usafiri ni kubwa kuliko bei ya bidhaa!!
Sambazah World said: Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania? Click to expand... Changamoto ni kama ifuatavyo; 1. Wafanyabiashara mitandaoni 90% sio waaminifu. 2. Kutokuweka bei za bidhaa na kuishia kumwambia mteja aje DM au inbox. 3. Picha na bidhaa halisi kukosa uhalisia. 4. Kama bidhaa ikakufikia na ikawa haifanyi kazi vizuri huwa ni kazi kubadilishiwa. 5. Kuna bidhaa bei ya usafiri ni kubwa kuliko bei ya bidhaa!!
Samedi Amba JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 227 Reaction score 178 Oct 11, 2023 #22 Sambazah World said: Je kuwa na e-commerce kama Jumia, Amazon au Alibaba itaweza kusaidia? Click to expand... Nahisi shida siyo hata uwepo wa eCoomerce, bali trade assurance. Kuna uzi nimeuandika muda so mrefu tunaweza kuchangia wote: Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania
Sambazah World said: Je kuwa na e-commerce kama Jumia, Amazon au Alibaba itaweza kusaidia? Click to expand... Nahisi shida siyo hata uwepo wa eCoomerce, bali trade assurance. Kuna uzi nimeuandika muda so mrefu tunaweza kuchangia wote: Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania
Sambazah World Member Joined Jul 8, 2018 Posts 12 Reaction score 5 Oct 11, 2023 Thread starter #23 Samedi Amba said: Nahisi shida siyo hata uwepo wa eCoomerce, bali trade assurance. Kuna uzi nimeuandika muda so mrefu tunaweza kuchangia wote: Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania Click to expand... Naomba tuangalie kabisa sambazah.co
Samedi Amba said: Nahisi shida siyo hata uwepo wa eCoomerce, bali trade assurance. Kuna uzi nimeuandika muda so mrefu tunaweza kuchangia wote: Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania Click to expand... Naomba tuangalie kabisa sambazah.co