Unahisi Gwajima alikuwa na waandishi wa habari kweli?

Unahisi Gwajima alikuwa na waandishi wa habari kweli?

Kwamba karusha kid Osama Osama siyo?

Kwani baya lipi kasema lini huyu?

Basi kama ndivyo kama nchi tuna tatizo la uongozi lenye kuhitaji mabadiliko kamili!
Nahisi umepost bila kuona video wala kujua nimepost nini

Ila hata mimi sijaona baba alilosema Gwaji boy
 
Ukifuatilia hiki kipande cha picha mjongeo, unapata picha gani?
View attachment 3408661
alishakwambia yeye ni jasusi wa mbinguni. hivi unafikiri walivyomkosa awali watampata tena? kwa sababu nasikia hata ukamataji wa awali ilibidi wamfuate dodoma ila kwa dar walishindwa. hapo amejificha kwenye handaki atakuwa anatoa cd moja baada ya nyingine, kuja nje huku itakuwa baada ya muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom