Kwa sababu yye ni mmojawaoHuyu jamaa anafanya mambo yake ki intelligence sana
Inawezekana hata alirekodi kwa muda zaidi ya mwezi ila jana ndo kaitoa.
hawezi kuongea na waandishi ,akiwaalika watamuuza,sema naye atajifungia live tu ghetto kwakeSubiri huyo mwingine hiyo kesho kama ataweza kuongea na hao waandishi si anajitia hamnazo!!
😂🤔Aliaga kwa heshima na kuuliza kama Kuna swali lolote.
maza hatoboihawezi kuongea na waandishi ,akiwaalika watamuuza,sema naye atajifungia live tu ghetto kwake
Kwahiyo biashara yake ya sadaka ndo imekufa? Maana hajazungumzia chochote kuhusu juhudi anazofanya kufunguliwa makanisa yake.Yeah mjanja Sana Gwaji
YUKO GHETTO UYOUkifuatilia hiki kipande cha picha mjongeo, unapata picha gani?
View attachment 3408661
Kwa hali ilivyo ni bora kufanya hivyoHuyu jamaa anafanya mambo yake ki intelligence sana
Wewe ulifuatilia kupitia chombo gani kama hakuwa na wandishi wa habari.?Ukifuatilia hiki kipande cha picha mjongeo, unapata picha gani?
View attachment 3408661