Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Duh
 
Kwan huko unakoendaga ndege hazifiki? Hakuna air ports???
Kutoka Dar sawa ila
1. Ninakoenda Ports zinakua mbali na mzigo unapofikia
2. Natakiwa nisafiri na mzigo kwa usalama zaidi, Kilishanikuta kitu sitotaka kurudia wala kukumbuka.
3. Safari hizi hua ni usiku, Kusafiri mchana kwa ratiba zangu napoteza pakubwa.. n.k n.k.

Kiufupi, nasafiri sanaaa, tunaweza tukutane karikaoo asubuhi, Jioni ukiniuliza nikuambie Nipo njiani natoka arusha kwenda Mwanza, Wananiita Journey Man. Nawaza nitafte namna ya support, issue ni trust na mtu aliye competent, mjini, ukijichanganya tuu unakuta manyoya.

Ila nimeona watu sana wakiwa wamebanwa kwenye mavyuma usiku...
 
Kama sio ajali basi moyo kama sio basi ini kama sio basi figo kama sio basi natoboa 70+ ila kwa sasa ndiyo kwanza nipo 30+ bata ziendelee.....
 
nitakufa katika uzee mwema kabisaa. 97 years.
Nimeoza wanangu na nimewaona wajukuu na vitukuu mpaka vilembwe.
Nitakufa kwasababu ya utu uzima tu/uzee. Nitafia usingizini pale Aga khan.
Hili ni jibu mujarabu.

Kufa tutakufa ila Ota kifò kizuri.
Sio mtu unawaza kupigwa visu mara kuwekewa sumu...labda kama wewe ni jambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…