Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Watu mna wivu hata kwenye namna ya kifo cha mtu anavyojitabiria.

Waliojitabiria kufa vibaya haujatoa maoni yoyote, Ila huyu aliejitabiria kufa kifo chema unamjia juu...

Ama kweli tunaishi na watu wabaya sana.
🤣🤣😂😂😂😂😂😂 watu wabayaa wachawi
 
Hatutakufa bali tutaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu aniepushe Tuu,
Ila Nawaza sana Ajari, hasa ukizingatia ninavyosafiri na zaidi usiku.
Halafu Nyie mnao react kwenge hii👆 comment yangu with "thanks " mananitakia nini? Sikufi sasa.
 
Wee jamaa Mbona umeandika mada ngumu sana?.Umewaza nini mkuu?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Punguza matumizi ya mihadarati.
 
Kila mnyama ana adui yake. Lakini sometimes utaona wanyama kama tembo au simba ambao hawana mpinzani Na hakuna mtu anajua atakufa wapi au lini.
Lakini hiyo ni kwa vijana tu. Watu wa umri wangu hatufikiri tutaishi milele.
Nipo Ausha hapa. Sometimes namwenda kwenye morning stroll asubuhi. Ghafla naona mbele yangu njia inakua very steep,kuna mpando mkali,najiuliza lama naweza kupanda. Naamua kwamba it is too steep for me. Narudi nilikotoka. Sasa mtu kama mimi naweza vipi kufikiria nitaishi milele?
Kama mimi nimekufa,mtu anakuambia nimekufa,sikuambii huyu amekufa vipi,I give you give guesses. We're niambie,unadhani mtu huyu amekufa vipi? Kama unanifahamu,unaweza kusema, huyu alifumaniwa,akapivwa;au huyu kibaka ameuawa na wananchi wananchi wenye hasira; au kama unajua mimi nina tabia ya kutukana viongozi,unaweza kusema huyu slipata midnight knock on the door,kachukuliwa na watu wasiojulikana.
Kama rubani,kama upo katika glider,unaweza kujua nitatua wapi.
Maisha yako mwenyewe lazima uweze kujitabiria nitakufa hivi,nitakufa pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…