Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Hii headlight ya Lexus rx300 master unauzaje.?
IMG_20221111_112058.jpg
 
Salaam ndugu zangu, kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mkippigiwa simu kila kitu mnajibu "hatuna"
 
Huo ni mswaki wa 1NZ ,
Mteja alikua anatoka Dom kuelekea Masasi
Engine imemfia maeneo ya ikwiriri,
Hapo anatakiwa kesho awahi kwenye mazishi ya ndugu yake kwahiyo hakuna namna inabidi kila kitu kifanyike chap kwa haraka.

Mwamba ndio huyo sasa kwa bodaboda anawahisha mzigo Ikwiriri takribani km 160,
Go and return ni sawa na safari ya Dar to Tanga.

Ndio ametoka mida hii tumuombee afike salama na arudi salama.View attachment 2402949
Mswaki wa 1NZ bei gani
 
Back
Top Bottom