Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
- #1,181
Zote ziko na fogMaster bumper la mbele la Rav4 old model lenye fog light sh ngap ? Na lisilo la fog light sh ngap ?
Fog ya njano laki 2
Fog nyeupe laki 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote ziko na fogMaster bumper la mbele la Rav4 old model lenye fog light sh ngap ? Na lisilo la fog light sh ngap ?
Elfu 80natafuta engine mount ya spacio new model engine 1NZ napata kwa sh ngapi?
Mbona mkippigiwa simu kila kitu mnajibu "hatuna"Salaam ndugu zangu, kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?
Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.
Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .
Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha abs brake boosterNahitaji pump na motor ya brake ya vx v8 toyota landcruiser
Ya upande gani unataka bossHii headlight ya Lexus rx300 master unauzaje.?View attachment 2413177
Spare gani boss umeulizaMbona mkippigiwa simu kila kitu mnajibu "hatuna"
KushotoYa upande gani unataka boss
Niliuliza wheel caps za chasser gxSpare gani boss umeuliza
Nahitaji shockup, nissan march 2006Zote ziko na fog
Fog ya njano laki 2
Fog nyeupe laki 3
Nashukuru kwa huduma yako nzuri unajibu kila sms inayokuuliza.Zote ziko na fog
Fog ya njano laki 2
Fog nyeupe laki 3
Namba ya whatsapp 0658124554Nashukuru kwa huduma yako nzuri unajibu kila sms inayokuuliza.
Nchek namba yako ya wasup
650000/=Kushoto
Ipo milioni 3.2 yenyewe kabisa hiyo
Za mbele au za nyumaNahitaji shockup, nissan march 2006
Mswaki wa 1NZ bei ganiHuo ni mswaki wa 1NZ ,
Mteja alikua anatoka Dom kuelekea Masasi
Engine imemfia maeneo ya ikwiriri,
Hapo anatakiwa kesho awahi kwenye mazishi ya ndugu yake kwahiyo hakuna namna inabidi kila kitu kifanyike chap kwa haraka.
Mwamba ndio huyo sasa kwa bodaboda anawahisha mzigo Ikwiriri takribani km 160,
Go and return ni sawa na safari ya Dar to Tanga.
Ndio ametoka mida hii tumuombee afike salama na arudi salama.View attachment 2402949