Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Keshmoney......hii nickname hata Sijui nliwaza nini mpk nikaitumiaga mweh
 
Dah... Molotov....baada ya kufanya kitu hatareee...kidogo tu niende jela...[emoji87] [emoji41] [emoji13]
 
Concody hili jina lilidumu primary hadi seco
 
Pale Majengo Sec 1996 walipenda sana kuniita "FUNGO" sijui hata walikua wanawaza nn?
 
O level nmeitwa Tako boy... Nyeusi

A level "they call me Genius" teh teh ujana bna
 
Ulikuwa enzi ya kina Masai ama R jigga na kina mchwa mpaka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…