Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pouwaaa niajehahahahahahaha
shem mambo?
Umekuja kuwa bze Shem, niajir pls nikusaidiepouwaaa niaje
Yeah ubize sometimes....Umekuja kuwa bze Shem, niajir pls nikusaidie
Teh
Ulikuwa enzi ya kina Masai ama R jigga na kina mchwa mpaka ?Pale Old Moshi Secondary yule mwana-bongo flavour mmoja wa Wagosi wa Kaya alikua akiitwa PILATO daaaaaa!!km ingekua ni miaka hii ya sasa ni bora ukutane na watu wasiojulikana ama wazee wa kustukiza bandarini kuliko kupelekwa kwa huyu PILATO aka Mariki