Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Keshmoney......hii nickname hata Sijui nliwaza nini mpk nikaitumiaga mweh
 
Dah... Molotov....baada ya kufanya kitu hatareee...kidogo tu niende jela...[emoji87] [emoji41] [emoji13]
 
Concody hili jina lilidumu primary hadi seco
 
Pale Majengo Sec 1996 walipenda sana kuniita "FUNGO" sijui hata walikua wanawaza nn?
 
O level nmeitwa Tako boy... Nyeusi

A level "they call me Genius" teh teh ujana bna
 
Pale Old Moshi Secondary yule mwana-bongo flavour mmoja wa Wagosi wa Kaya alikua akiitwa PILATO daaaaaa!!km ingekua ni miaka hii ya sasa ni bora ukutane na watu wasiojulikana ama wazee wa kustukiza bandarini kuliko kupelekwa kwa huyu PILATO aka Mariki
Ulikuwa enzi ya kina Masai ama R jigga na kina mchwa mpaka ?
 
Back
Top Bottom