Nilikuwa nataniwa tipwa kwasababu ya unene
Baadae wakaniita Rooney sababu nilikuwa na mwili mkubwa pia mpira nacheza sana
Advance, waliniita maximo sababu ya kuwa kocha
Chuo, wameniita chucho sababu nilikuwa bonge nafanana kiumbo kama mchezaji marehemu benitez au chucho alichezea Birmingham city