Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

[emoji23][emoji23][emoji23]they called me ( tajiri mtoto ) nlkua ikifka ijumaaa nawanunulia pipi..biscuits class zima
 
Me nilikuwa naitwa Hans K wakati huo damu ya moto haswaaaaa!
 
Shevchenko, ukiulizia Masengo Sec enzi zile mwaka '92 hadi '95 hadi ofisini kwa master nlikua na chata
 
Mh mi yangu siitaji

Pale tosa ilikua ikitoka pap two ilikua inafata yangu kwa umaarufu cha kushangaza wengi walikua hawanijui ilikua kila mtu akinijuia ni mimi anapatwa na bumbuwazi coz walikua wanajua ni bonge la mtu

Mh hizi a.k.a ni shida kwa kweli
 
mimi KASUNGURA hili jina nilishindwa kulizuia likawa maarufu kiliko jinalangu halisi
kila madogo wanao kuja form one walikua wanajitahidi wanajue hadi kwenye majina ya wasumbufu niliandikwa kasungura mfaume walim wengi walilizoea
 
Mapanki/Manywele nilikua nafuga nywele zangu za kimanga/Singa walimu wananionea gere

Diseases. Kwenye misala nilikua naumwa kabisaa hafu mm nikiigiza kuumwa hua naumwa kabisa..
 
Nilikuwa nafuga nywele Sana nikapewa jina la Lokasa Ya Mbongo
 
Nilikuwa nataniwa tipwa kwasababu ya unene
Baadae wakaniita Rooney sababu nilikuwa na mwili mkubwa pia mpira nacheza sana
Advance, waliniita maximo sababu ya kuwa kocha
Chuo, wameniita chucho sababu nilikuwa bonge nafanana kiumbo kama mchezaji marehemu benitez au chucho alichezea Birmingham city
 
Back
Top Bottom