Haha sawa bwanaKiukweli sikumsahau Bwana niliziheshimu siku zake na kuzitkasa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe Demi huyo wakojaco wa nzega sidhani kama ni mimi.... Japo nzega nimepita
Mnatumia id fake mkitaja taja majina hayo tutawagundua so take care
Acha yaingie kingiMnatumia id fake mkitaja taja majina hayo tutawagundua so take care
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] joseeNimevamia thread ya waliosoma sekondari..
Mimi La 7B ngoja nilog off........
Wewe jamaa tumesoma wote umenokumbusha mbaliiii mgeni rasmiiMimi ya kwangu ilikuwa ni Mkuu wa Mkoa, nyingine Mgeni Rasmi
Huyu ni Tiss nishamjua hahahaMnatumia id fake mkitaja taja majina hayo tutawagundua so take care
Umenikumbusha shuleni kuna jamaa tulikuwa tunamwita ......Form 4 nilikuwa art ila masela wangu wingi walikuwa wa science sema walinita CATALYST