Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Daaah utoto raha sana enzi izo need likua najiita intelligent girl kwenye madaftari adi kwenye masweta nimeandika chata langu hahaha
 
Young Money au Cash Money nilikuwa nawahusudu sana wanyamwezi hao n then mavumba na bling za birdman nilikuwa nanyuka sana.....baadae wakaniita Millz......Millionea...hahaha dah...!
 
Back
Top Bottom