Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Yes ndo tuliwasumbua hao wazee,hadi shule za Mungai hizo MET Mufindi Education Trust zikapunguza kudahili wanafunzi nje ya mkoa maana ndo waliolianzisha kasheshe, infact walichoma jengo la utawala wakaharibu chakula stoo kwa kuchanganya sukari mahindi maharage unga na mchele pamoja kisha wakavimwaga uwanja wa basketi, magodoro yao waliyaondoa bwenini wakayapeleka pori ili wachome mabweni lakini FFU waliwahi WAKORINTHO III ilizua kizaazaa kwa kweli RIP bro wako inawezekana namkumbuka!

hahaha aise naikumbuka sana hyo scene ! yeah kaka angu alikua kwenye huo mtafaruku !nakumbuka mazishini walikuja masela weng wanajiita wakoritho !sikuwafatilia sana !ila hilo jina ndo nimelikumbuka !bas kakangu ndo alianzishaga hilo sekeseke ! akafukuzwa shule !anywys rip ! dah !nimetoka machozi huez amini !
 
Pole sana
 
Magufuli kutokana na li kofia langu nililokuwa nikuvaa lilikuwa kama la magufuli enzi zile bado sio rais
 
taja herf ya jina lang la mwanzo na mwsho mfn kama ni Ayoub john weka Aj.. Au mwk wang wa ku graduate pale...
hahahah
Sasa ntakuwa nakuweka wazi hapa majina yako
Herufi zake za mwanzo ni H lapil ni J
2016 ulitoka pale
 
hahahah
Sasa ntakuwa nakuweka wazi hapa majina yako
Herufi zake za mwanzo ni H lapil ni J
2016 ulitoka pale
hahaha.. Umeona mkuu sio mm mim nimetoka pale mwaka huu nimesm Hgl nlikua skaut afu foodleader.. Pia chancelor hot spears... Je umenipata..?
 
hahaha.. Umeona mkuu sio mm mim nimetoka pale mwaka huu nimesm Hgl nlikua skaut afu foodleader.. Pia chancelor hot spears... Je umenipata..?
Amna haja ya kubishana mkuu

Vp yule rafki yako mkurya yuko wapi siku hizi
 
Back
Top Bottom