Unaikumbuka timu hii ya Taifa ya Uholanzi

Unaikumbuka timu hii ya Taifa ya Uholanzi

4ca4ee2c76cacab6003335ee4e3dc01e.jpg

Pia hiki kikosi kilikuwa kizuri sana including Marco Van Basten, Ruud Gullit, Ronald Koeman, Danny Blind, Aaron Winter, Frank Rijkaard, Vanenburg, Wouters and Johnny Bosman. Coached by the legendary coach Rinus Michels.

naona mtoto wake nae Daley Blind sio haba anajitahidi sana
 
4ca4ee2c76cacab6003335ee4e3dc01e.jpg

Pia hiki kikosi kilikuwa kizuri sana including Marco Van Basten, Ruud Gullit, Ronald Koeman, Danny Blind, Aaron Winter, Frank Rijkaard, Vanenburg, Wouters and Johnny Bosman. Coached by the legendary coach Rinus Michels.

Hawa ndio wa kupongezwa kwa kushinda Euro 1988, kitu pekee ambacho wameshinda so far.
 
Naomba uongeze kweli nyingine, isomeke alikuwa fundi kweli kweli, kuweka msisitizo juu ya kipaji chake kilichotukuka.

Kiukweli soka lake lilikuwa linanikosha kweli kweli, namba 10 ya uhakika, soka la sasa tunakosa namba 10 dizain yake..
Robo fainali kombe la dunia Ufaransa aliwafunga Argentina moja ya magoli bora kabisa kuwahi kufungwa kwenye kombe la Dunia
 
Back
Top Bottom