shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,901
Edgar/Zidane wakati wote wako juventus ilikuwa shidaEdgar Davies
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Edgar/Zidane wakati wote wako juventus ilikuwa shidaEdgar Davies
Inasikitisha sana.Kila nikimtizama reus wallah nabata ushungu sana..
![]()
Pia hiki kikosi kilikuwa kizuri sana including Marco Van Basten, Ruud Gullit, Ronald Koeman, Danny Blind, Aaron Winter, Frank Rijkaard, Vanenburg, Wouters and Johnny Bosman. Coached by the legendary coach Rinus Michels.
Hivi hawakucheza na Nedved pamoja?Edgar/Zidane wakati wote wako juventus ilikuwa shida
Nyoka hazai Chura hata siku moja, Nyoka anazaa nyoka.naona mtoto wake nae Daley Blind sio haba anajitahidi sana
![]()
Pia hiki kikosi kilikuwa kizuri sana including Marco Van Basten, Ruud Gullit, Ronald Koeman, Danny Blind, Aaron Winter, Frank Rijkaard, Vanenburg, Wouters and Johnny Bosman. Coached by the legendary coach Rinus Michels.
Nedved, Inzagh na Del Pielo wote walikuwepoHivi hawakucheza na Nedved pamoja?
Philipo Inzagh, Alessandro Del Pielo.Nedved, Inzagh na Del Pielo wote walikuwepo
ok, nimekumbuka sasa bila kumsahau Antonio Conte ktk eneo la Kiungo!Nedved, Inzagh na Del Pielo wote walikuwepo
Wewe sio mhenga au soka umeanza kufatilia juzijuzi mkuu. Umeshindwa kumtambua hata Van Der Sar?Mm hpo namuona bergkamp,edgar na na jamp stam tu wengne hata siwajui!
Robo fainali kombe la dunia Ufaransa aliwafunga Argentina moja ya magoli bora kabisa kuwahi kufungwa kwenye kombe la DuniaNaomba uongeze kweli nyingine, isomeke alikuwa fundi kweli kweli, kuweka msisitizo juu ya kipaji chake kilichotukuka.
Kiukweli soka lake lilikuwa linanikosha kweli kweli, namba 10 ya uhakika, soka la sasa tunakosa namba 10 dizain yake..
Goli linasisimua sana, huyu alikuwa anaonesha tofauti ya kufunga na kutupia nyavuni..Roba fainali kombe la dunia Ufaransa aliwafunga Argentina moja ya magoli bora kabisa kuwahi kufungwa kwenye kombe la Dunia
Namwona domo mnyama "Michael Reiziga" ebanaeeeeeh maisha yako kasi sanaKwa wapenzi wa soka wa zamani tukumbushane majina ya wachezaji wa kikosi hiki
![]()
Commentator alisema " Three touches, control, turn and finish. "Goli linasisimua sana, huyu alikuwa anaonesha tofauti ya kufunga na kutupia nyavuni..
Kuna nyakati katika Maisha unatakiwa uwe na bahati. Hao jamaa walikosa bahati.Hakikutwaa kombe hata la mbuzi!
Na magoli yake mengi alikuwa akifanya mawili kati ya hayo matatu au yote kwa pamoja..Commentator alisema " Three touches, control, turn and finish. "
Kombe ni jambo jingine.. tunazungumzja kabumbu walilokuwa wanaliangusha.. mengine ni bahati tuu.Hakikutwaa kombe hata la mbuzi!