Unajenga nyumba ya milion 300 ili upangishe laki 3, ni akili au matope?

Unajenga nyumba ya milion 300 ili upangishe laki 3, ni akili au matope?

Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi

Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna

Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
That’s how criminals launder their illicit money. Anajenga, anapangisha kwa miaka mitano kisha anauza. Hapo anakuwa ameshapata pesa yenye maelezo yaliyoonyoka!
 
Back
Top Bottom