Uzi ufungwe hapaThat’s how criminals launder their illicit money. Anajenga, anapangisha kwa miaka mitano kisha anauza. Hapo anakuwa ameshapata pesa yenye maelezo yaliyoonyoka!
Mkuu unaijua nyumba ya 300m? Mfano hapa Dar nyumba ya 300m unayoweza kupanga kwa 300k ipo wapi? Hebu tuwe realistic.Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi
Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna
Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
Ni Matope 100%.Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi
Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna
Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
Million 30 unjenga nyumba ya aina Gani?Ni Matope 100%.
Hiyo 300 Najenga nyumba 10 za Milioni 30 kama za jenga uza CHAMAZI kisha napangisha kwa laki na 50 kila mwezi kwa zote naingiza 1.5m.
Nyumba ya 30m ukisimamia mwenyewe ni nzuri sana...watu wanapigwa sana na mafundi.
Mkuu ukiacha mimi kuchoma mkaa pia ni Fundi ujenzi ,nyumba ya milioni 30 kwa ajili ya kupangisha ni kali sana mkuu ,nakuwekea Gypsum ,nakupigia tiles za Twyford yaani hauwezi amini tena ikiwezekana nakupigia hadi TV show case.Million 30 unjenga nyumba ya aina Gani?
Mkuu Umewaza nini😂😂😂😂😂😂Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi
Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna
Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
Mkuu watu wenye kipato cha kulipia nyumba kuanzia 1M n kuendelea ni middle class iliyochangamka hiyo.Mkuu ukiacha mimi kuchoma mkaa pia ni Fundi ujenzi ,nyumba ya milioni 30 kwa ajili ya kupangisha ni kali sana mkuu ,nakuwekea Gypsum ,nakupigia tiles za Twyford yaani hauwezi amini tena ikiwezekana nakupigia hadi TV show case.
Nakujengea Sebule ,Chumba Master ,Chumba Single,Jiko na Public Toilet.
Mafundi wanawapiga sana kwenye material na pia kuongeza bei sehemu wanaponunulia.
Kwenye ujenzi wa nyumba za kumbakisha vitu viwili ni muhimu sanaTubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi
Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna
Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
Kuwapangia watu matumizi ya pesa zao, ambazo hujui hata wanazipataje..ni dalili mbaya ya matumizi ya mda wakoTubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi
Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna
Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
Wakat Utt hapo kila mwezi una milion3Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi
Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna
Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
Na wewe unaamini kuna nyumba ya 300m inapangishwa 300k?Wakat Utt hapo kila mwezi una milion3
Anaamini kabisaNa wewe unaamini kuna nyumba ya 300m inapangishwa 300k?
Majibu ya kitaalamuHoja yako inajibiwa kama hivi
Mtu kajenga nyumba ya thamani ya milioni 300.
Kumbuka bado anaimiliki hiyo nyumba bado (asset).
Kila mwezi anapata kodi ya laki 3.
Kwa hiyo:
Mwezi wa kwanza ana:
Nyumba yenye thamani ~ milioni 300
Cash ya kodi laki 3
Net worth yake inaweza kusemwa imefika milioni 300 & laki 3 (kabla ya gharama nyingine).
Baada ya mwaka:
Kodi: 300k × 12 = 3.6M
Endapo akiuza nyumba baada ya Mwaka kwa 320M:
Anapata 320M + 3.6M = 323.6M gross receipts.
Na pia
Tanzania mara nyingi thamani ya ardhi/kiwanja hupanda kadri muda unavyoenda.
Jengo lenyewe linaweza kushuka thamani (depreciation).
Lakini kwa maeneo mengi yenye maendeleo, ongezeko la thamani ya ardhi linaweza kuzidi depreciation ya nyumba, hivyo overall property value ikaongezeka.
Ndiyo maana real estate mara nyingi ina nguvu kwenye:
Cashflow (kodi)
Capital appreciation (ongezeko la thamani ya property)
Asset ownership
Ila kiuhalisia kuna vitu vinapunguza hiyo “faida halisi”, kama:
gharama za maintenance,
kodi ya serikali,
kipindi nyumba haijapata mpangaji,
marekebisho,
Kwa hiyo si kwamba kila laki 3 ya kodi ni profit yote pure, lakini bado real estate inaweza kuwa uwekezaji mzuri sana especially maeneo yanayokua haraka.