Hakuna nyumba ya million 300 inapangishwa kwa laki 3. Kama ipo niambie ni wapi. Labda nyumba ya milioni 30, nayo faida utaanza kuiona baada ya miaka 10.
Binafsi biashara ya wapangaji siwezi kupoteza muda wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.