P Puan Member Joined Jul 30, 2025 Posts 17 Reaction score 11 Aug 23, 2026 #81 Bora hiyo hela ungeweka UTT AMIS, upokee milioni 3 kwa mwezi kwa gawio, Kama huna namna nyingine basi.
Bora hiyo hela ungeweka UTT AMIS, upokee milioni 3 kwa mwezi kwa gawio, Kama huna namna nyingine basi.
Nyota yangu Senior Member Joined Feb 22, 2026 Posts 166 Reaction score 365 Aug 23, 2026 #82 Hakuna nyumba ya million 300 inapangishwa kwa laki 3. Kama ipo niambie ni wapi. Labda nyumba ya milioni 30, nayo faida utaanza kuiona baada ya miaka 10. Binafsi biashara ya wapangaji siwezi kupoteza muda wangu
Hakuna nyumba ya million 300 inapangishwa kwa laki 3. Kama ipo niambie ni wapi. Labda nyumba ya milioni 30, nayo faida utaanza kuiona baada ya miaka 10. Binafsi biashara ya wapangaji siwezi kupoteza muda wangu
Mr Kipara JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 601 Reaction score 1,079 Aug 25, 2026 #83 Mpwimbe said: Genge la mnaojiita washauri wa mausal ya pesa mmezidi. Pumbavuuuuuuu Click to expand... Halafu walivyo Wapumbavu wanakushauri ukiwa umekwisha jipata tu,ukiwa huna kitu huwaoni🚮🚮🚮🚮
Mpwimbe said: Genge la mnaojiita washauri wa mausal ya pesa mmezidi. Pumbavuuuuuuu Click to expand... Halafu walivyo Wapumbavu wanakushauri ukiwa umekwisha jipata tu,ukiwa huna kitu huwaoni🚮🚮🚮🚮
Hulda-Tamarri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 2,714 Reaction score 4,074 Aug 25, 2026 #84 Wapi huko watu mnajenga nyumba kwa mil 300 alafu mnapangisha laki 3 kwa mwezi?