kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hivi unajua hiyo Bar iko karibu kabisa na mtaani kwanguπ€mm nishajua ni mahindi gan utalima usiku wa leo πππ .
Hii mech inabidi niwe tayar nishakaa vyedi kabla ya saa 4 usiku. maana wale waarabu wanaweza haribu siku. Sio watu wazuri.
Kuanzia saa 10 hiv ntakuwa joy es lava. Nianze kumoka mdogo mdogo.
Kuna jamaa naogopa kumuuliza hua ana kawaida ya kuchungulia hizi mechi na hua hakosei..sijampigia kabisa japo ananitumia sms za salamu na kucheka sijui anamanisha nini ππππVipi mzeya hapo kilingeni kwako hamjachungulia mechi tujue ukweli wa mambo kabla ya mambo yenyewe?
Nikiwa Rubambagwe, Chato, Geita, TanzaniaLeo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF
Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita
Ni siku maalum pia kwakuwa mpaka kufika hapo ametoka mbali sana
Basi itengenezee umaalum wake kwakuwa huna hakika ya kuja kuona fainali nyingine.. Ifanye siku ya leo kuwa tukio la kipekee sana..
Mimi nimeshatua Bukoba hapa tangu jana lakini final destination ni hapo kwa M7 Kampala kiwanja maarufu cha PLAN B mtaa wa Mengo
Kwakuwa SIMBA anaenda kuushangaza ulimwengu wa soka..basi siku ya leo ifanye maalum sana kwa wivu mkubwa kabisa
Wabongo mlioko Kampala see you baadae PLAN B .. Tutatambuana kwa mavazi na lafudhi
Mungu ibariki SIMBAβ€πβ€π
π€£π€£π€£π€£ Mzee na mbususu zako ...halafu inakuaga mwake hio nakumbuka fainali Moja ya uefa bwana ya Chelsea alivyoshindwa uefa dah aise nilipigwa denda na manzi wa kikenya ambayo Hadi leo nakumbuka..alikua shabiki la chelseaLeo tupo nyumbani lounge hapa kihonda bima. Ni mwendo wa kuombea simba ishinde tugawiwe mbjsusu bureee kabisa na warembo wa simbaaaa
Rs Berkane Vs Simba.Wanacheza na nani kwanza hao Simba?
oooh sawa jiran.Hivi unajua hiyo Bar iko karibu kabisa na mtaani kwanguπ€
Hapa Simba wana kazi kubwa inabidi wale ugali wa kushibaRs Berkane Vs Simba.
Ni fainali ya Kombe la Afrika
Hao wapinzan wa Simba ni waarabu na mechi inachezewa Morocco.
Mechi zinakuwa 2, moja inachezwa leo Morocco nq nyingne itachezwa wiki ijayo hapa Tanzania . Na timu itakayokuwa imeshinda magoli meng kwenye mechi zote 2 wanakuwa mabingwa wa Afrika.
NB : hakuna timu Kenya, Uganda wala Tanzania ishawah kuwa bingwa wa Afrika.
Kwahiyo ni mechi nzito na ina umuhimu kwa Tanzania na East Afrika kwa ujumla.
Kumbe, ila watu watajaa sana hapo Joy leo maana mashabiki wa Simba na wengi na wana fujo sanaoooh sawa jiran.
Mm nakaa Lastanza.
Barabara ile ina bar nyingi.
Polokwane nilikuwa juzi j5.
Waarabu leo watapigwa kama ngomaKuna timu fulani leo itapigwa kama ngoma
Wana5imba Kwa kujipa moyo sasa!!
Leo ni kubana pumbuz tuu simba ashinde watu tule waremboπ€£π€£π€£π€£ Mzee na mbususu zako ...halafu inakuaga mwake hio nakumbuka fainali Moja ya uefa bwana ya Chelsea alivyoshindwa uefa dah aise nilipigwa denda na manzi wa kikenya ambayo Hadi leo nakumbuka..alikua shabiki la chelsea
Mkuu kama bado uko bukoba ,tafadhali fika rwamishenye kuna mbibi nampenda sana na kumkubali sana ,pita msalimie kwa niaba yangu kwakusema mjukuu wako anakupenda sana .Leo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF
Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita
Ni siku maalum pia kwakuwa mpaka kufika hapo ametoka mbali sana
Basi itengenezee umaalum wake kwakuwa huna hakika ya kuja kuona fainali nyingine.. Ifanye siku ya leo kuwa tukio la kipekee sana..
Mimi nimeshatua Bukoba hapa tangu jana lakini final destination ni hapo kwa M7 Kampala kiwanja maarufu cha PLAN B mtaa wa Mengo
Kwakuwa SIMBA anaenda kuushangaza ulimwengu wa soka..basi siku ya leo ifanye maalum sana kwa wivu mkubwa kabisa
Wabongo mlioko Kampala see you baadae PLAN B .. Tutatambuana kwa mavazi na lafudhi
Mungu ibariki SIMBAβ€πβ€π