Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Nakuvizia kwenye nyumba za ibada, hutokei
- Nakupigia simu, hupokei
- Nakutumia ujumbe wa simu, hunijibu
- Nakuandikia barua, hunijibu
- Nakutumia vocha, hunipigii
- Nakutumia hela ya matumizi, hushukuru
Sasa mimi nifanyeje; endelea kujichelewesha mwenyewe, mimi kuwa baba wa watoto wako.