Hee ana maono kumbe!Hao n wakwako ila tambua jamaa kila akikuona anaona watoto wake wakicheza tumbon mwako
Sitaki wapekue!Unaogopa nini
Acha fujo, watoto unawachelewesha mwenyewe kupata baba, nakutumia nauli hautokei, sasa mimi nifanyeje?zamani nilikuaga najua mleta mada ni mkubwa
Nini tenaWamepigwa na kitu kizito
Mapori yanatakiwa yaishe, zaeni mkaijaze dunia.Mzee wa michepuko,hupoi