Unajiita MBISHI? kutana na wabishi

Unajiita MBISHI? kutana na wabishi

Napinga, hao jamaa hawanifikii mimi kwa ubishi hata kidogo. Nikiweka vimbwenga vyangu humu mtazifunga computer zenu na kustaajabu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimewavulia kofia . huyo namba moja ndio mbishi kushinda wote
 
Hivi hapo ni kipi kilitangulia kujengwa/kuwa hapo...? nyumba au nguzo?
 
Back
Top Bottom