Unajiita MBISHI? kutana na wabishi

Unajiita MBISHI? kutana na wabishi

Wabishi Kama Wabishi
JamiiForums-1578920949.jpg
 
kuna wale unakuta mpo kwenye zebra ye anaona roli linakuja speed huko anavuka taratibu utamskia muache tu anigonge kwani aoni zebra,, ubishi ule tuuitaje Madam K[emoji849]

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app

Kindakindaki, na huyo hajakutana na walemavu wanaokaa barabarani kuomba, Lori likafeli breki na kuelekea upande wao. Weeh wanatimka mbio kumzidi Bolt aahahahaa (nimeongeza munyu).
 
kuna wale unakuta mpo kwenye zebra ye anaona roli linakuja speed huko anavuka taratibu utamskia muache tu anigonge kwani aoni zebra,, ubishi ule tuuitaje Madam K[emoji849]

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu utakuta anasisitiza kabisa kwa kusema akinigonga ndio atajua mimi ni nani?
 
Hahahaha hao wameshindikana mamaee

Hiyo nyumba yenye transforma wanalala kabisa humo ndani na usingizi wanapata !??

Mamaeeee wallahi kuna watu wame vurugwa hahahaha
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
uyo wa kwanza hapana aisee
 
Back
Top Bottom