NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Week mkuu tukupitishe unezidi "UBSHINapinga, hao jamaa hawanifikii mimi kwa ubishi hata kidogo. Nikiweka vimbwenga vyangu humu mtazifunga computer zenu na kustaajabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Week mkuu tukupitishe unezidi "UBSHINapinga, hao jamaa hawanifikii mimi kwa ubishi hata kidogo. Nikiweka vimbwenga vyangu humu mtazifunga computer zenu na kustaajabu.
Hapana kaka,hawa ni mamba kabisaAisee hao jamaa ni kiboko ya viboko hasa huyo no moja
Mwenye hiyo nyumba hata mazoea nae siyataki kabisa.Hahahahahhaahahah natamani niwaone wamiliki wa hizi nyimba/viwanja....
Nijipime ubishi wangu unakaribiana na ubishi wao kwa kiasi gani...
Weka hata mojaNapinga, hao jamaa hawanifikii mimi kwa ubishi hata kidogo. Nikiweka vimbwenga vyangu humu mtazifunga computer zenu na kustaajabu.
Hahaha......View attachment 864262
Ubishi ni kipaji
Hapo nitasubiri sanaView attachment 864262
Ubishi ni kipaji
View attachment 864262
Ubishi ni kipaji
mamaeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]Yaani alivunjika mguu kwa ajali ya bodaboda, sasa anarudi nyumbani kapanda bodaboda tena bila helmet.....
mguu umeshikiliwa kama gitaaView attachment 864262
Ubishi ni kipaji