Unajiita MBISHI? kutana na wabishi

Hahahahahhaahahah natamani niwaone wamiliki wa hizi nyimba/viwanja....

Nijipime ubishi wangu unakaribiana na ubishi wao kwa kiasi gani...
Mwenye hiyo nyumba hata mazoea nae siyataki kabisa.
 
Duh,huo ni ubishi wa kiwango cha Standard Gauge AU kwenye fizikia tungesema UBISHI per metre cubic.
AKA
Ahami mtu hapa!
 
Hao kweli ni wabishi hadi wanabishia tanesco, kuna walio bisha hadi barabara ikapindishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…