Unajiita MBISHI? kutana na wabishi

Kuna wabishi wawili niliwahi kuwaona mmoja kajenga juu ya reli isiyotumika na mwingine kenya aliipiga nyoka land cruiser ya polisi
 
Hatari sana hiyo! Hayo madude huwa yanalepukaga sana. Kukipiga mzinga hilo nyumba yote ikatikisika na watakaokuwemo ndani watakuwa kama Tolabora na mabomu ya Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…