Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?
Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?
Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.
Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.
Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!