Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

Nikiona habari kama hizi huwa nakumbuka jamaa mmoja alikuwa anahangaika na maisha akiwa analea watoto wake baada ya mama yao kufariki

Alipambana na mmmoja wa watoto wake wa kike akafanikiwa kufika chuo kikuu
Jamaa alikuwa na furaha sana na kusema nimepambana haswa ila mwaka wa pili msichana karudi home kwao mjamzito

Aliponiambia roho iliniuma sana ila alikuwa strong na kuikubali hali ile
Kuna mzee nasikia, siku bintiye anampigia simu na kusema ana ujauzito, yule mzee alijibu "kumbe binti yangu wewe sio tasa, maana michezo yako naijua siku nyingi,nilikuwa nahisi wewe ni tasa maana ulikua hupati mimba"
 
Mkuu nisaidie mmoja mwenye mahitaji kweli na awe anaweza thibitisha kwamba hana uwezo wa kupambana na maisha na akiwa Yatima itapendeza zaidi, sina uwezo mkuubwa wa kumpatia makubwa ila kidogo nlichonacho hata kama ni 50k kwa mwez kitamsogeza lkn ingependeza zaidi akiwa Dodoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo atakuwa baba wa kambo
Ila sio ya kucheka ujue
 
Mkuu nisaidie mmoja mwenye mahitaji kweli na awe anaweza thibitisha kwamba hana uwezo wa kupambana na maisha na akiwa Yatima itapendeza zaidi, sina uwezo mkuubwa wa kumpatia makubwa ila kidogo nlichonacho hata kama ni 50k kwa mwez kitamsogeza lkn ingependeza zaidi akiwa Dodoma
Dignity starts from the heart, congrats! Nitajitahidi.
 
Mara nyingi naona wanaume ndo tunapitia sana msoto chuoni,ila kna Ku saidia na waashikaja
Mfano Rucu iringa wanaomudu kosoma kozi za afya wengi ni familia zenye uwezo sababu ni koz za gharama sana
Asimilia kubwa na maisha ya kawaida wanayamudu ,
Lakini sasa wanaotaka show off na bata ndo wanadanga sana, na ukiwa na pesa utawapata kama wote,

Na upande wa degree wengi boom lipo kwahyo kuna balance flani ya maisha

Na mademu wengi huwa wanaamia sana maghetoni kwa washikaji ili kuunguza ugumu wa life (ndoa za semester)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mzee nasikia, siku bintiye anampigia simu na kusema ana ujauzito, yule mzee alijibu "kumbe binti yangu wewe sio tasa, maana michezo yako naijua siku nyingi,nilikuwa nahisi wewe ni tasa maana ulikua hupati mimba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?

Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?

Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.

Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!

Embu ondoa hii fikra kwanza...

Ni Nani alikuambia ni wao tu ndio wanaopitia changamoto na wanatakiwa kupewa kipaumbele
 
Angejifungua mbona ila inategemea alikuwa chuo gani, chuo kama ATC kubeba mimba ni ajabu ila chuo kama SAUT kuna mimba nyingi kuliko first class GPA. Kacheki waliojifungua walivyojazana
Hivi umemuelewa?

Alichokimaanisha mzazi anasikitika kuona badala ya mtoto akue ili ampunguzie mzigo kaenda kumuongezea mzigo
 
Back
Top Bottom