Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

Unajua nimeshaenda vituo vingapi vya mayatima kutoa nilichonacho? Kumsaidia yatima aliyepo kwenye kituo cha kulea yatima na kumsaidia yatima aliyeko chuoni unaona kuna tofauti kwako?

Kwanini kila mtu mnamuona limbumeni wa mapenzi hivi?
Soma aya yangu ya pili
 
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?

Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?

Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.

Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!
Ugumu wa maisha si kwa akina dada tu. Vipi wale wa kiume wanaokosa hata namna ya kula vyuoni ?!.

Hapa nadhani ungependekeza kila mwana chuo apewe BOOM , maadhal ame qualifie kujiunga.
 
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?

Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?

Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.

Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!
Siku zote mabinti ndo wana hurumiwa but men wanakufa na tai shingoni🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?

Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?

Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.

Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!

Mimi nilijua unasema wanatembae uchi.....alafu usikute unasema wanavaa vibaya kwa sababu labda hawavai vimini na vinguo vya kubana .

Kama wanavaa na maungo yao yamesitiriwa hamna shida .

Kuhusu njaa wapambane njaa kila kona ....
 
Sio chuo mzebaba, msuli wa chuo na pesa vinaenda sambamba hizo assignment kibao, nauli kama unatoka mbali, msosi mavazi. Hiyo kitu ipo sana level za chini ila chuo mzee sijaiona hiyo kitu aisee
Ni kweli kabisa yaan.
 
Kuna mdogo wangu anamalizia dip ila kozi yake wamejaa wazazi wakati age yao wengi ni 19-20. Uvaaji wao sasa nao ni utata kupindukia. Kila nikimpigia simu mara ameshika mtoto wa nani, marafiki zake wengi nilikuwa nawamezea wamwjifungua.
Hasa wale wa Education wanajifungua balaa. Wanataniwa na kozi nyingine kuwa wanaamua wazae wanafunzi wao wenyewe.

Mimi course yangu mpaka mwaka huu wa pili namjua mmoja tu aliyejifungua.
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli hata huyo rafiki angu nae ni Education lol.
 
Chuoni hakuna sababu ya kushindana GPA. Mimi nimesoma chuo ambacho hostel ni kama Almas, mwaka wa tatu niliuza kitanda nikawa nalala kwa kuvizia na kwenye majengo mabovu.

Ada ni Mungu alipita kati tu. Kula tumepika sana na washkaji hostel. Tulinunua rice cooker, hilo hilo tunapikia maharage, ugali, wali, uji [emoji1787]

Hapo bado stress za kukataliwa kufanya papers kwasababu ya ADA. Field nimeenda mkoani nikiwa nina nauli tu ya Tsh 20,000 nimelala sana stand halafu baridi kaliii, asubuhi unaamka kama vile kila kitu kiko poa[emoji1787]

Miaka 3 unasota chuo, unamaliza kwa kudra za Mungu unakutana na utawala wa kibwengo Jiwe kila siku anahuburi madaraja tu huku pesa anahonga wapinzani na kurudia chaguzi.

Unaamia kupiga mishe yoyote, naamua kuwa mlinzi Jiwe anazuia fao la kujitoa kwahiyo anafikiri watu wanaweza kufanya hizi kazi mpaka miaka 55?

Unaweza kudhani ni ndoto sometimes.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nilimuona akiwa hana furaha, mavazi yake na viatu vyake vilimtofautisha na wanachuo wengine!

Huruma ilinijaa ya kugawana chochote nitachokula au kupata. Aliponitajia jina lake nikajifanya kumfananisha na dada yangu hadi jina ili tu asinifikieie kuwa msaada wangu ulilenga kitu kwake.

Kwakuwa nilikuwa nimepanga geto nje ya chuo, nikamweka karibu ili atapohitaji kitu anijulishe au afike kwa kaka yake bila hata hofu.

Sikuwahi kumtaka kwa lolote, japo alijua sijatulia ila tuliheshimiana.
Nilifurahi kumuona mwenye furaha, amani kiasi na mabadiliko ya kimavazi.

Muda mwingi yeye aliniombea tu kwa Mungu, masela wangu pia waliamini ni dada yangu.

Najua akipitia comment hii anaweza kumbuka, japo kwasasa sijui alipo na namba zake zilipigwa pini na NIDA hadi sasa.
Ubarikiwe sana.
 
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?

Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?

Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.

Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!

Kama unammoja unayemfahamu awe wakike nipatie namba yake,hua nikifikiria changamoto wanazopitia hawa mabint nahuzunikaga sana
 
Sio chuo mzebaba, msuli wa chuo na pesa vinaenda sambamba hizo assignment kibao, nauli kama unatoka mbali, msosi mavazi. Hiyo kitu ipo sana level za chini ila chuo mzee sijaiona hiyo kitu aisee
True mkuu..

Mtu hujui utakula nini unadhani hata mood ya kwenda lecture hall/room utakuwa nayo?.
 
Back
Top Bottom