Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

Kwa nini unaweka gender kwenye issue hii? Kwa nini usiweke binadamu (me and ke) badala ya mtoto wa kike?
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?

Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?

Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.

Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!

Matatizo ni mengi, huyo aliyefika hadi kujisajili ana afadhali vipi wanaoishia njiani kwa kukosa hata nauli ya kwendea shule
 
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?

Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?

Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.

Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!

Kama haya yote yanawezekana kwa mtoto wa kiume, kwa nini isiwe kwa mtoto wa kike? Hivi 50/50 inayopiganiwa ni ipi??

Wasione kama sisi wanaume tuna raha sana kuwa wanaume, wajue tunapitia magumu sana. Wakihitaji usawa wawe tayari kupitia magumu hayo hayo bila kuhurumiwa, kama sisi.

Acha akome. Ova[emoji41][emoji41]
 
Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vi

Hayo matatizo yako kwa wanaume pia, inamaa wewe unaona na kuguswa na matatizo ya mabinti tu?
 
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?

Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?

Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru na tabasamu usoni, kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Mzazi au mlezi anadunduliza kumlipia ada na pesa kidogo ya matumizi ambayo kimsingi haitoshi. Alipenda kuvaa vizuri kama wenzake, alipenda kula vizuri, kusuka vizuri n.k, ila hawezi.

Wanaume tupambane kuwaepusha mabinti zetu na kadhia kama hizi.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huwa natamani kulia ninapowaona mabinti wanaishi hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], hawa ni mama zetu!

For sure!!! "there is no dagger, that hurt & pains like this". kikubwa Mungu awabariki na kuwapa afya njema ili waweze kutimiza ndoto zao....
 
Kama haya yote yanawezekana kwa mtoto wa kiume, kwa nini isiwe kwa mtoto wa kike? Hivi 50/50 inayopiganiwa ni ipi??

Wasione kama sisi wanaume tuna raha sana kuwa wanaume, wajue tunapitia magumu sana. Wakihitaji usawa wawe tayari kupitia magumu hayo hayo bila kuhurumiwa, kama sisi.

Acha akome. Ova[emoji41][emoji41]
Daaah! Are you Hitler's daddy?
 
Me mwnyw nashangaa labda 50/50 ya raha nahisi ndo wanataka
Nb: ila hyo akome mkuu ifute co nzuri

Daaah! Are you Hitler's daddy?
We ndo umekosea kumsemea mwanmke tu wakati kiuhalisia wapo mpka wanaume wanaoteseka zaidi ya uyo mdada alaf pengine hzo nguo unazosemea labda ulitaka avae vimin na jeans au...

Hyo comment yako inaonesha unataka huruma upande wa pili
 
True mkuu..

Mtu hujui utakula nini unadhani hata mood ya kwenda lecture hall/room utakuwa nayo?.
Kabisa mkuu hiyo anayosema mdau kua wenye msoto ndo wanafaulu ipo sana level za chini ambazo % kubwa mzazi ndo anawaza zaidi kuhusu maisha ya mwanae. Ila chuo kila kitu ni wewe na kama ndo una boom mzazi anakuacha kabisaaa zaid zaid labda nae awe anakupiga vibomu hadi unampa pia.
 
Mimi kidogo nilicho nacho niko tayari kumsaidia yoyote yule awe wa kike au wa kiume.
Nikibahatika kukutana na mwenye uhitaji nitamsaidia
 
Kabisa mkuu hiyo anayosema mdau kua wenye msoto ndo wanafaulu ipo sana level za chini ambazo % kubwa mzazi ndo anawaza zaidi kuhusu maisha ya mwanae. Ila chuo kila kitu ni wewe na kama ndo una boom mzazi anakuacha kabisaaa zaid zaid labda nae awe anakupiga vibomu hadi unampa pia.
Linawakumba wengi mno hili.
 
Mara nyingi naona wanaume ndo tunapitia sana msoto chuoni,ila kna Ku saidia na waashikaja
Mfano Rucu iringa wanaomudu kosoma kozi za afya wengi ni familia zenye uwezo sababu ni koz za gharama sana
Asimilia kubwa na maisha ya kawaida wanayamudu ,
Lakini sasa wanaotaka show off na bata ndo wanadanga sana, na ukiwa na pesa utawapata kama wote,

Na upande wa degree wengi boom lipo kwahyo kuna balance flani ya maisha

Na mademu wengi huwa wanaamia sana maghetoni kwa washikaji ili kuunguza ugumu wa life (ndoa za semester)
 
Back
Top Bottom