Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

Kuna mzee nasikia, siku bintiye anampigia simu na kusema ana ujauzito, yule mzee alijibu "kumbe binti yangu wewe sio tasa, maana michezo yako naijua siku nyingi,nilikuwa nahisi wewe ni tasa maana ulikua hupati mimba"
 
Mkuu nisaidie mmoja mwenye mahitaji kweli na awe anaweza thibitisha kwamba hana uwezo wa kupambana na maisha na akiwa Yatima itapendeza zaidi, sina uwezo mkuubwa wa kumpatia makubwa ila kidogo nlichonacho hata kama ni 50k kwa mwez kitamsogeza lkn ingependeza zaidi akiwa Dodoma
 
Kuna mzee nasikia, siku bintiye anampigia simu na kusema ana ujauzito, yule mzee alijibu "kumbe binti yangu wewe sio tasa, maana michezo yako naijua siku nyingi,nilikuwa nahisi wewe ni tasa maana ulikua hupati mimba"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo atakuwa baba wa kambo
Ila sio ya kucheka ujue
 
Dignity starts from the heart, congrats! Nitajitahidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mzee nasikia, siku bintiye anampigia simu na kusema ana ujauzito, yule mzee alijibu "kumbe binti yangu wewe sio tasa, maana michezo yako naijua siku nyingi,nilikuwa nahisi wewe ni tasa maana ulikua hupati mimba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Embu ondoa hii fikra kwanza...

Ni Nani alikuambia ni wao tu ndio wanaopitia changamoto na wanatakiwa kupewa kipaumbele
 
Angejifungua mbona ila inategemea alikuwa chuo gani, chuo kama ATC kubeba mimba ni ajabu ila chuo kama SAUT kuna mimba nyingi kuliko first class GPA. Kacheki waliojifungua walivyojazana
Hivi umemuelewa?

Alichokimaanisha mzazi anasikitika kuona badala ya mtoto akue ili ampunguzie mzigo kaenda kumuongezea mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…