Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilimradi hani bugudhi kwa kelele au kwa namna yoyote ile , fresh tu ni maisha yake hayanihusuUmepanga mahali, halafu kila siku unaona Mpangaji mwenzio anaingiza Malaya ndani kwake.
Unajisikiaje wewe kama Mpangaji?
NB: UNA MKE NA WATOTO.
Napishana na wewe kidogo.Fanya mpango wa kupata nyumba nzuri. Uswahili sana haya mambo hayaepukiki. Panga ushuani kidogo.
Heshma yako hujengwa na wewe mwenyewe kijana.Umepanga mahali, halafu kila siku unaona Mpangaji mwenzio anaingiza Malaya ndani kwake.
Unajisikiaje wewe kama Mpangaji?
NB: UNA MKE NA WATOTO.
Kwanini usijisikie vizuri au mmepanga chumba kimoja?Bila shaka huwezi jiskia vizuri.je?nini cha kufanya maana hili ndo lengo la mada yako.
fanya hivi
Eleza hisia zako kwa huyo mpangaji anzisha mazungumzo kwa kueleza kwa utulivu jinsi unavyohisi kuhusu hali hiyo. Tumia kauli za kiume ili kuepuka kutoa shutuma.
eleza athari ambazo analeta kwa familia yako na tabia anayojenga kwa viumbe hawa wadogo.
UKIONA ANAENDELEA NA TABIA HIYO.
kwa mara ya pili,vizia kaleta mwanamke jitokeze mbele yao akiwa yeye na huyu mwanamke mazungumzo yako yawe haya.....
Halo, nilitaka kuongea nanyi nyote wawili kuhusu jambo ambalo limekuwa likinisumbua. Nimekuwa nikihisi kutoridhika mara kwa mara nawewe fulani(jina lake)kwa kuwa na wanawake tofauti tofauti kila kujicha. Yani tangu umepata haya maradhi umekuwa kila siku unaleta wanawake ndani kwako,,,,kwanini?unataka kuangamiza watoto wa watu ona sasa asubuhi ulikuwa na Amina mchana Mwanaidi jioni hii umeleta na huyu tena.nafsi inanisuta lazima nikwambie ukweli mdogo wangu kifo kinakuita na nitapiga simu nyumbani.
Ukimaliza sema hayo ingia ndani.usisubili ajibu.akifanikiwa kumuingza ndani huyo manzi niite makonda niko hapa nakungoja💯💯
Njia rahisi ni kujenga nyumba yako. Kama hutaki acha mabachelor tule maishaUkipanga uswahilini hayo mambo hautayaepuka.
Ni kuvumiliana na life style la mwenzio, kikubwa lisitingishe hali yako
Kila mtu anachumba chake.Kwanini usijisikie vizuri au mmepanga chumba kimoja?
Panga nyumba nzima unaishije chumba kimoja na familia?Kila mtu anachumba chake.
Kawaida kama ungekuwa bachelor ungechukulia poa tu,ila kama unafamilia aah mkuu haijakaa sawa hii
Nomah sana...Bila shaka huwezi jiskia vizuri.je?nini cha kufanya maana hili ndo lengo la mada yako.
fanya hivi
Eleza hisia zako kwa huyo mpangaji anzisha mazungumzo kwa kueleza kwa utulivu jinsi unavyohisi kuhusu hali hiyo. Tumia kauli za kiume ili kuepuka kutoa shutuma.
eleza athari ambazo analeta kwa familia yako na tabia anayojenga kwa viumbe hawa wadogo.
UKIONA ANAENDELEA NA TABIA HIYO.
kwa mara ya pili,vizia kaleta mwanamke jitokeze mbele yao akiwa yeye na huyu mwanamke mazungumzo yako yawe haya.....
Halo, nilitaka kuongea nanyi nyote wawili kuhusu jambo ambalo limekuwa likinisumbua. Nimekuwa nikihisi kutoridhika mara kwa mara nawewe fulani(jina lake)kwa kuwa na wanawake tofauti tofauti kila kujicha. Yani tangu umepata haya maradhi umekuwa kila siku unaleta wanawake ndani kwako,,,,kwanini?unataka kuangamiza watoto wa watu ona sasa asubuhi ulikuwa na Amina mchana Mwanaidi jioni hii umeleta na huyu tena.nafsi inanisuta lazima nikwambie ukweli mdogo wangu kifo kinakuita na nitapiga simu nyumbani.
Ukimaliza sema hayo ingia ndani.usisubili ajibu.akifanikiwa kumuingza ndani huyo manzi niite makonda niko hapa nakungoja💯💯
Sio uswahilini tu hata makazi ya watu medium kama ni bachelor iyo ni kawaida. Kwa wanaume tunaona normal tu tena katika situations kama izo tunafanyiana na utani kabisa na kufurahi kwa pamoja unakuta mwamba anaingia na demu halafu mshkaji mmoja anajifanya kama anakohoa vile kwaiyo inachukuliwa kama utani tu sasa sijui upande wa wanawake wanaichukuliajeUkipanga uswahilini hayo mambo hautayaepuka.
Ni kuvumiliana na life style la mwenzio, kikubwa lisitingishe hali yako